Mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho (kulia) akiifungia timu yake bao huku Nahodha wa Chelsea, John Terry (kushoto) akijaribu kuzia bila mafanikio. Mchezo wa Ligi Kuu ya England, Liverpool imeshinda 3-1 Uwanja wa Stamford Bridge, mabao ya Coutinho mawili dakika 48 na 74 na Christian Benteke dakika ya 83, huku bao pekee la The Blues likifungwa na Ramires Santos do Nascimento dakika ya nne. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
-
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment