Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar amekuwa mchezaji mwingine wa timu hiyo kufunga mabao manne katika mechi moja baada ya Messi, tangu Mcameroon Samuel Eto'o alipofanya hivyo mwaka 2008. Neymar alifunga mabao mawili kwa penalti jana kati ya manne katika mchezo wa La Liga, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Luis Suarez, Barcelona ikishinda 5-2 dhidi ya Rayo Vallecano.  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former England captain Beckham knighted by King
                      -
                    
Watch the moment former England captain David Beckham is formally knighted 
by King Charles for his services to football and British society.
58 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment