Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro (kulia) akimtia tobo Sergi Gomez wa Celta Vigo katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Balaidos. Real imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Ronaldo dakika ya nane, Danilo Luiz da Silva dakika ya 23 na Marcelo Vieira Da Silva Junior dakika ya 90+5, wakati la wenyeji lilifungwa na Manuel Agudo Duran dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment