MKAKATI WA TAIFA STARS KUIUA ALGERIA NAMBA MOJA AFRIKA!
Wajumbe wa Kamati ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Ahmed Iddi Mgosyi, Salim Abdallah na Wakili Imani Madega wakijadiliana kabla ya kikao cha Kamati yao jana katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Algeria katikati ya mwezi ujao.
0 comments:
Post a Comment