YANGA SC WALIVYOJIFUA LEO UWANJA WA MWINYI KUIPASHIA KAGERA SUGAR
Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora kuelekea mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja huo.
0 comments:
Post a Comment