![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipambana na kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shengo |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akipambana na beki wa JKT Ruvu, Renatus Morris |
![]() |
| Winga wa Azam FC, Farid Mussa (kulia) akimtoka winga wa JKT Ruvu, Emmanuel Pius |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akimtoka kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shengo |
![]() |
| Kipa wa Azam FC, Aishi Manula akidaka shuti la ana kwa ana la Emmanuel Pius wa JKT Ruvu |








.png)
0 comments:
Post a Comment