YONDAN NA BOCCO ILIKUWA 'SHUGHULI PEVU' JUMAMOSI YANGA NA AZAM
Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan (kulia) akipambana na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.
0 comments:
Post a Comment