Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Willian Borges Da Silva (kushoto) akishangilia baada ya kufunga dhidi ya Manchester City dakika ya 48 katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England Uwanja wa Stamford Bridge, London leo. Mabao mengine ya Chelsea inayotinga Robo fainali kwa matokeo hayo yamefungwa na Diego Da Silva Costa dakika ya 35, Gary Cahill dakika ya 53, Eden Hazard dakika ya 67 na Bertrand Traore dakika ya 89, huku la Man City likifungwa na David Faupala dakika ya 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment