Makipa wa Ndanda FC ya Mtwara, Jackson Chove (kulia) aliyewahi kudakia pia Yanga na Azam na Willy Mweta (kushoto) aliyewahi kudakia Simba na Toto Africans wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya African Sports jana Uwanja wa nangwanda Sijaona, Mtwara. Ndanda walishinda 2-1
0 comments:
Post a Comment