![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akipasua katikati ya wachezaji wa Cercle de Joachim |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akijaribu kumgeuza beki wa Cercle de Joachim |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Godfrey Mwashiuya (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Cercle de Joachim |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Busungu akiwatoka mabeki wa Cercle de Joachim |
![]() |
| Amissi Tambwe akiwa juu kabisa kuwania mpira wa juu dhidi ya wachezaji wa Cercle de Joachim |








.png)
0 comments:
Post a Comment