![]()  | 
| Mfungaji wa bao la kwanza la Azam Fc, Kipre Tchetche (kushoto) akishangilia na kiungo wa timu hiyo, Ramadhani Singano 'Messi' | 
![]()  | 
| Beki wa Mbeya City, Tumba Lui Swedi akiupitia mpira miguuni mwa winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' | 
![]()  | 
| Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita Tumbi Luis Swedi | 
![]()  | 
| Kikosi cha Mbeya City kilichobugizwa mabao 3-0 jana Uwanja wa Sokoine | 
![]()  | 
| Kikosi cha Azam FC kilichowapa 3-0 Mbeya City jana Uwanja wa Sokoine | 








.png)
0 comments:
Post a Comment