Geard Ajetovic akipima uzito tayari kwa pambano la raundi 12 kesho viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Middle 
![]()  | 
| Francia Cheka akichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya | 
![]()  | 
| Geard Ajevotic akichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya | 
![]()  | 
| Bondia Mohammed Matumla ambaye kesho atapigana na Bakari Mohammed katika pambano la uzito wa Light raundi sita | 
![]()  | 
| Mabondia Cossmas Cheka (kulia) na Mustafa Doto (kushoto) wakiwa wameshika mkanda wa WBF Africa watakaowiania kesho katika pambano la uzito wa Light | 








.png)
0 comments:
Post a Comment