Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Neymar baada ya Muargentina huyo kufunga kwa mpira wa adhabu katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Sevilla usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine la Barca lilifungwa na Gerard Pique, wakati la wageni lilifungwa na Vitolo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former England captain Beckham knighted by King
                      -
                    
Watch the moment former England captain David Beckham is formally knighted 
by King Charles for his services to football and British society.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment