Kikosi cha Yanga kilichosukwa vizuri mwaka 1994, kutoka kushoto waliosimama ni Salum Kabunda 'Ninja', Constantine Kimanda, Steven Casmir Nemes, Kenneth Mkapa na Suleiman Mkati. Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Nico Bambaga (marehemu), Sekilojo Chambua, Edibily Lunyamila, James Tungaraza 'Boli Zozo' (marehemu) na Said Nassor Mwamba 'Kizota' (marehemu). Yanga hii ilifungwa 4-1 na watani, SImba na mwisho wa msimu wachezaji karibu wote wakafukuzwa, timu ikaundwa upya kwa kupandisha wachezaji wa timu B, maarufu kama B;ack Star walioandaliwa na kocha Tambwe Leya (sasa marehemu) na kuibua nyota walioiwika baadaye wakiwemo Nonda Shabani aliyecheza hadi Ulaya
Legendary NBA coach and player Lenny Wilkens dies aged 88
-
Lenny Wilkens, one of the winningest coaches in NBA history and a two-time
Basketball Hall-of-Famer, has died at the age of 88.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment