ZLATAN AANZA KUJIFUA TAYARI KUREJEA KAZINI MAN UNITED
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akijaribu kufanya mazoezi ya kupiga mpira baada ya kuanza kupata nafuu kufuatia kuumia mguu wa kulia katika mchezo wa Robo Fainali ya Europa League dhidi ya Anderlecht mwezi ApriliPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment