Timo Werner (kulia), mfungaji wa mabao mawili ya Ujerumani dakika za 66 na 81 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Cameroon leo Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi, Urusi kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara akimiliki mpira dhidi ya dhidi ya beki wa Simba Wasiofungika, Adolphe Teikeu (kushoto). Bao lingine la Ujerumani limefungwa na Kerem Demirbay dakika ya 48, wakati la Cameroon limefungwa na Vincent Aboubakar. Kwa matokeo hayo, Cameroon inatolewa kwenye mashindano, huku Ujerumani ikienda Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aaron Rodgers suffers major injury scare in warmups ahead of Steelers'
clash with the Colts
-
Aaron Rodgers appeared to hurt his hand in the warmup with the Pittsburgh
Steelers, minutes before their game on Sunday against Indianapolis Colts.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment