Kiungo wa Tanzania, Erasto Nyoni akimtoka mchezaji wa Mauritius katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguri akimfukuzia mchezaji wa Mauritius
Nahodha wa Tanzania, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mauritius


![]() |
| Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akimtoka mchezaji wa Mauritius jana |
![]() |
| Nahodha wa Tanzania, Himid Mao akipambana na mchezaji wa Mauritius jana |
![]() |
| Beki wa Tanzania, Gardiel Michael akiruka kugombea mpira na mchezaji wa Mauritius |
![]() |
| Beki wa Tanzania, Salim Mbonde akimdhibiti mchezaji wa Mauritius jana |







.png)
0 comments:
Post a Comment