Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo ameposti picha hii ya watoto wake pacha, Mateo na Eva waliozaliwa na mama ambaye hajatajwa baada ya kukutana nao kwa mara ya kwanza. Mchezaji huyo wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 32 ambaye Jumatano timu ya taifa, Ureno ilitolewa na Chile kwa penalti 3-0 baada ya sare ya 0-0 kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Mabara nchini Urusi, sasa anafikisha watoto watatu baada ya Cristiano Jnr wa kwanza mwenye umri wa miaka saba sasa, lakini naye mama yake hajulikani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tom Brady drops the ball live on air leaving NFL fans stunned: 'Did he
really just say that?'
-
During their broadcast of the Giants' 38-20 defeat by the Eagles, Brady
left fans stunned with comments he made when discussing Philadelphia
quarterback Ja...
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment