Kiungo chipukizi wa Marseille ya Ufaransa, Andre-Frank Zambo Anguissa akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Cameroon bao la kuongoza dakika ya 45 na ushei katika sare ya 1-1 na Australia usiku wa Alhamisi Uwanja Krestovskyi mjini St. Petersburg, Urusi katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara. Australia ilisawazisha kupitia kwa Mark Milligan kwa penalti dakika ya 60PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment