Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama anayechezea Tottenham Hotspur ya England akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa mapumzuko ya baada ya msimu wa Ligi Kuu, akiiwezesha tijmu yake kumaliza nafasi ya pili
0 comments:
Post a Comment