Cristiano Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza kwa penalti dakika ya 33 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya New Zealand baada ya Danilo kuchewa rafu usiku wa Jumamosi Uwanja wa Krestovskyi mjini St Petersburg katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mabara. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 37, Andre Silva dakika ya 80 na Luis Nani dakika ya 90 na ushei. Matokeo hayo yanaifanya Ureno ifikishe pointi saba na kumalizana kileleni sawa na Mexico iliyomaliza na pointi saba pia baada ya kuifunga Urusi 2-1 na zote zinakwenda Nusu Fainali. Wenyeji Urusi wameungana na New Zealand kupanda jukwaani kitazama mechi za kumalizia michuano ya 2017 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Oilers star Evander Kane slammed for 'dirty and classless' move after
losing to Panthers in Stanley Cup Finals
-
Nobody is quite sure when hockey's handshake line was born. The practice is
believed to be over a century old, but whenever it started, Edmonton Oilers
sta...
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment