Kelechi Iheanacho akiruka kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Leicester City dakika ya 14 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa King Power. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Jamie Vardy kwa penalti dakika ya 76 na Riyad Mahrez dakika ya 90, wakati la Arsenal limefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tax evasion: FIRS hosts conference on illicit financial flows
-
The Federal Inland Revenue Service (FIRS) has concluded plans to host a
two-day national conference on Illicit Financial Flows (IFFs) in its
efforts to s...
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment