MAMBO YA FEDHA, SALAMBA SASA NI MMILIKI BONGE LA 'CROWN JIPYAAA'
Mshambuliaji mpya wa Simba, Adam Salamba akiwa ameegemesa gari aina ya Crown ambayo ilikutwa inabadilishwa magurudumu mjini Dar es Salaam leo, ikiwa ni siku moja tu tangu asaini kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania
0 comments:
Post a Comment