Wachezaji wa Fulham wakifurahia na Kombe lao baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa, bao pekee la Nahodha Tom Cairney dakika ya 23 katika fainali ya mchujo wa Ligi Daraja la Kwanza England, maarufu kama Championship usiku wa jana Uwanja wa Wemblery, hivyo kufanikiwa kurejea Ligi Kuu msimu ujao wa 2018-19 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants trade Gold Glove catcher Patrick Bailey to Guardians
-
The San Francisco Giants traded Gold Glove winning catcher Patrick Bailey
to the Cleveland Guardians.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment