Mshambuliaji wa Azam FC, Iddi Kipagwile akiwachambua wachezaji wa Yanga kabla ya kupiga mpira jana katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-1
Beki wa Yanga SC, Gardiel Michael akimkwatua mshambuliaji wa Azam FC, Iddi kipagwile
Mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Zaid akimtoka kiungo wa ulinzi wa Yanga, Maka Edward
Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akimuacha chini mshambuliaji wa Yanga, Mzambuia Obrey Chirwa
Kiungo wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akiondoka na mpira katikati ya wachezaji wa Azam FC
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akiupigia hesabu mpira mbele ya wachezaji wa Azam FC
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony (kushoto) akimtoka beki wa Azam FC, Bruce Kangwa
Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Yankees star Aaron Judge greets wife Samantha with a kiss after she
finishes New York City Marathon
-
Yankees star Aaron Judge was all smiles on Sunday as he congratulated his
wife Samantha on finishing the New York City Marathon.
40 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment