Bondia Lucas Matthysse akiwa amelala chini baada ya kuangushwa na mpinzani wake, Manny Pacquiao usiku wa kuamkia leo katika pambano la kuwania taji la WBA uzito wa welter mjini Kuala Lumpur, Malaysia. Kuala Lumpur on Sunday. Pacquiao mwenye umri wa miaka 39, ameshinda kwa Knockout (KO) raundi ya saba baada ya kumuangusha Matthysse mara tatu na kuweka rekodi ya kushinda mapambano 60 kati ya 69 aliyocheza, akipoteza saba na sare mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
30 seriously good summer sale deals our shopping editors don't want you to
miss
-
From discounted streaming services to summer dress sales, here's the best
deals available to shop this week from the likes of Disney+, Amazon,
Dunelm, Debe...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment