Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuigungia bao la kuongoza Manchester United dakika ya 12 katika sare ya 1-1 na AC Milan kwenye mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa Rose Bowl, Pasadena, California nchini Marekani. Suso aliisawazishia AC Milan dakika ya 15 kabla ya Man United kwenda kushinda kwa penalti 9-8 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment