Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa wanawake, CECAFA Challenge, Fatma Issa 'Fetty Densa' baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali, Rwanda
Hapa Fetty Densa akiwa na Kombe la CECAFA Challenge ambalo timu yake, Kilimanjaro Stars imefanikiwa kulitetea jana

0 comments:
Post a Comment