HARUSI YA BEKI WA YANGA GARDIEL MICHAEL MBAGA KATIKA PICHA
Beki wa Yanga SC, Gardiel Michael Mbaga (kushoto) akiwa na mkewe katika sherehe ya harusi yao baada ya kufunga ndoa jana mjini Dar es Salaam
Gardiel Michael (kushoto) akiwa na mkewe katika sherehe ya harusi yao jana
Kiongozi wa Yanga, Samuel Lukumay (kulia) akimpongeza mchezaji wake. Katikati ni mchezaji mwenzake, Juma Mahadhi
Samuel Lukumay akiwa na Juma Mahadhi pamoja na maharusi, Gardiel na mkewe
Gardiel Michael na mkewe pamoja na ndugu na jamaa katika sherehe hiyo iliyofana
0 comments:
Post a Comment