Kiungo Mtanzania, Himid Mao (wa pili kulia) akifurahia na wachezaji wenzake, Ahmed Raouf, Mohamed Abou Elnaga na Ahmed Sobhi wa Petrojet FC kwenye bwawa la kuogelea la hoteli ya Radisson Blu mjini Alexandria, Misri baada ya mazoezi
Himid Mao amejiunga na Petrojet FC Mei mwaka huu kutoka Azam FC ya nyumbani aliyoanzia kuichezea timu ya vijana

0 comments:
Post a Comment