Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Liverpool kwa penalti dakika 28 ikiilaza Manchester United 4-1 kwenye mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa Jumamosi Uwanja wa Michigan mjini Ann Arbor, Marekani. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Daniel Sturridge dakika ya 66, Sheyi Ojo aliyejifunga dakika ya74 na Xherdan Shaqiri dakika ya 82, wakati la Man United limefungwa na Andreas Pereira dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool 1-1 Chelsea: What Slot said
-
Liverpool have dropped nine points from winning positions in Premier League
home games this season, their most at Anfield in a single campaign since
2015-1...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment