Mshambuliaji mpya wa DC United, Wayne Rooney akishangili na wachezaji wenzake, Yamil Asad na Taylor Kemp baada ya kutokea benchi na kuisaidia timu yake kushinda 3-1 dhidi ya Vancouver Whitecaps kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani (MLS) alfajiri ya leo Uwanja wa Audi Field mjini Washington, DC. Mabao ya DC yamefungwa na Yamil Asad dakika ya 27, Paul Arriola dakika ya 69 na 80 kwa pasi ya Rooney wakati la kufutia machozi la timu ya Canada, Vancouver Whitecaps PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Simple photos sum up why eight million people are FURIOUS about State of
Origin
-
The NSW Blues came tantalisingly close to pulling off their biggest Origin
comeback ever in Perth on Wednesday night - but the close loss wasn't the
only t...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment