Kiungo wa Mtibwa Sugar, Hassan Dilunga akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba SC leo mjini Dar es Salaam. Dilunga anayesajiliwa siku moja baada ya Simba SC kufungwa 1-0 na Azam FC katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame alikuwa anatakiwa pia na klabu yake ya zamani, Yanga SC
Jon Jones RETIRES from UFC, Dana White reveals in shock announcement
-
Jones was the promotion's undisputed heavyweight champion but his title has
now been passed to Tom Aspinall.
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment