ULIMWENGU AWASILI DAR NA KUJIUNGA NA TAIFA STARS KWA MAANDALIZI YA MCHEZO NA BURUNDI JUMAPILI
Mshambuliaji wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Thomas Emmanuel Ulimwengu baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Lubimbashi kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu yataifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa kumenyana na Burund katika mchezo wa kirafiki Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
Item Reviewed: ULIMWENGU AWASILI DAR NA KUJIUNGA NA TAIFA STARS KWA MAANDALIZI YA MCHEZO NA BURUNDI JUMAPILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment