Mwanzo > SIMBA > HITIMANA KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA HITIMANA KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA SC KLABU ya Simba imeimarisha benchi lake la Ufundi kwa kumteua Mnyarwanda Thierry Hitimana (42), kuwa kocha Msaidizi wa klabu, akichukua nafasi ya Suleiman Matola ambaye yupo masomoni. Friday, September 10, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment