KIPANGA YATOA SARE 1-1 NA AL HILAL YA SUDAN KUSINI
TIMU ya Kipanga ya Zanzibar imetoa sare ya 1-1 na Al Hilal Wau y Sudan Kusini leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hizo zitarudiana Septemba 17 Uwanja wa Amaan, Zanzibar na mshindi wa jumla atasonga mbele.
0 comments:
Post a Comment