TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeshika nafasi ya tatu kwenye michuano ya COSAFA Women’s Senior Championship baada ya kuichapa Namibia mabao 2-1 nchini Afrika Kusini.
Mabao ya Twiga Stars yamefungwa na Christer John dakika ya 12’ na Aisha Juma dakika ya 20, wakati la Namibia limefungwa na Veveziwa Kotjipati dakika ya 88.



.png)
0 comments:
Post a Comment