JOSEPH LAZARO KUIONGOZA COASTAL UNION BADALA YA MGUNDA
KLABU ya Coastal Union itakuwa chini ya Joseph Lazaro (pichani kushoto) kufuatia kuondoka kwa Juma Mgunda aliyejiunga na Simba SC.
Lazaro, ambaye kama Mgunda wote ni wachezaji wa zamani wa timu hiyo, atalazimika kuwa kazini huku bado ana majonzi ya kufiwa na mamá yake mzazi, aliyefariki dunia juzi.
0 comments:
Post a Comment