Mwanzo > YANGA > MECHI ZA AZAM, SIMBA NA YANGA ZAAHIRISHWA AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA YANGA MECHI ZA AZAM, SIMBA NA YANGA ZAAHIRISHWA SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha mechi tatu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuzipa nafasi Azam, Simba na Yanga katika mechi zao za michuano ya Afrika. Friday, September 30, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA YANGA
0 comments:
Post a Comment