JUMA MGUNDA ANAVYOIANDAA SIMBA KUIPIGA BULLETS JUMAMOSI
KOCHA wa Muda wa Simba SC, Juma Mgunda akiwa mazoezini Jana mjini Lilongwe nchini Malawi kukiandaa kikosi kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets Jumamosi.
0 comments:
Post a Comment