Mwanzo > SIMBA > CHAMA AKABIDHIWA TUZO NA MILIONI ZAKE 2 SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA CHAMA AKABIDHIWA TUZO NA MILIONI ZAKE 2 SIMBA SC KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chota Chama baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Agosti sambamba na mfano wa Hundí ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile. Friday, September 16, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment