TIMU ya KMKM ya Zanzibar imetupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-0 na wenyeji, Al Ahli Tripoli jana Uwanja wa Martyrs of February Jijini, Benghazi nchini Libya. Kwa matokeo hayo, KMKM inatolewa kwa jumla ya mabao 6-0 kufuatia kuchapwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment