TANZANIA Bara imetupwa nje ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U18) baada ya kufungwa na wenyeji, Kenya kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 Uwanja wa Jomo Kenyatta katika mchezo wa Nusu Fainali.
Kenya sasa itakutana na Uganda katika Fainali ambayo imeitoa Rwanda kuwa kuichapa 1-0 hapo hapo Jomo Kenyatta.
0 comments:
Post a Comment