Wachezaji wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro, Job Ibrahim na Davies Mwape wakiwa katika Jiji la Cairo kama wanavyoonekana wanakunywa maji yao ya Kilimanjaro waliyotoka nayo Dar es Salaam. Yanga wanacheza na Zamalek kesho wakitakiwan lazima kushinda ili wasonge mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 Dar es Salaam. PICHA HII NIMETUMIWA NA HAMISI KIIZA DIEGO, MDAU WA BONGOSTAZ.
Saudi Aramco profits jump despite conflict in the Middle East
-
Saudi Arabia’s state oil company hit £26.9bn profit – a 26% rise – in the
first three months of the year
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment