WAPINZANI WA AZAM KATIKA MLO WA KULALIA USIKU HUU SAPPHIRE COURT HOTEL
Wachezaji wa Barack Young Controllers II ya Liberia wakipata chakula cha jioni usiku huu katika hoteli ya Sapphire Court Hotel, Kariakoo, Dar es Salaam walipofikia kwa ajili ya mchezo wa marudiano Kombe la Shirikisho Afrika Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.