![]() |
| Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Muamad Ismael Kone akimtoka beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 3-0. |
![]() |
| Kone alifunga bao moja katika ushindi huo |
![]() |
| Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mchezaji wa Ruvu |
![]() |
| Brian Umony akimiliki mpira mbele ya beki wa Ruvu |
![]() |
| Beki David Mwantika akimtoka mchezaji wa Ruvu |
![]() |
| John Bocco akipambana na wachezaji wa Ruvu |
![]() |
| Kiungo wa Azam, Kipre Michael Balou akimdhibiti mchezaji wa Ruvu |
![]() |
| Kocha mpya wa Azam, Joseph Marius Omog aliiongoza timu katika mechi ya kwanza leo |
![]() |
| Gaudence Mwaikimba na beki wa Ruvu |
![]() |
| Wapenzi wa Azam jukwaani |
![]() |
| Waandishi maarufu wa habari za michezo, Mgaya Kingoba kulia na Amir Mhando kushoto walikuwepo Chamazi |













.png)
0 comments:
Post a Comment