![]() |
| Mshambuliaji tegemeo kutoka Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche akinywa maji ya Uhai baada ya mazoezi |
![]() |
| Kone akinyoosha viungo |
![]() |
| Kiungo Jabir Aziz Stima akinyoosha viungo |
![]() |
| Kocha wa akademi, Vivik Nagul ndiye aliongoza mazoezi leo akishirikiana na kocha Msaidizi, Kali Ongala wakati kocha Mkuu, Joseph Marius Omog raia wa Cameroon atawasili Ijumaa |
![]() |
| Gaudence Mwaikimba akikokota mpira |
![]() |
| Mganda Brian Umony bado yupo Chamazi |
![]() |
| Kipa Mwadini Ally kushoto akidaka na kulia ni kocha wa makipa Iddi Abubakar Mwinchumu |
![]() |
| Beki tegemeo, Aggrey Morris akichezea mpira |
![]() |
| Kulia beki David Mwantika |
![]() |
| Kone ni hatari bosi; Meneja wa Azam akizungumza na simu wakati mazoezi yakiendelea |
![]() |
| Wachezaji wa kikosi cha kwanza walichanganyika na wachezaji wa akademi |















.png)
0 comments:
Post a Comment