![]() |
| Kipa wa Simba SC, Yaw Berko akidaka mpira miguuni mwa mshambuliaji wa KMKM, Ally Ahmed 'Shiboli' |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Haruna Shamte akiwatoka wachezaji wa KMKM |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Betram Mombeki akiwatoka mabeki wa KMKM |
![]() |
| Uhuru Suleiman wa Simba SC kulia akimtoka beki wa KMKM |
![]() |
| William Lucian 'Gallas' wa Simba SC akipasua katikati ya wachezaji wa KMKM |
![]() |
| Kocha mpya wa Simba SC, Mcroatia Zdravko Logarusic akiwaelekeza wachezaji wake kucheza mpira wachini |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Henry Joseph akimdhibiti mshambuliaji wa KMKM, huku kipa Yaw Berko akiwa tayari kudaka |
![]() |
| Yaw Berko amedaka |
![]() |
| Beki wa KMKM akiondosha mpira miguuni mwa Betram Mombeki wa Simba SC |
![]() |
| Kiungo wa KMKM, Juma Mbwana akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Simba SC |
![]() |
| William Lucian 'Gallas' wa Simba SC kushoto na Iddi Mgeni wa KMKM kulia |
![]() |
| Iddi Mgeni akimpiga teke Hamisi Tambwe wa Simba SC |
![]() |
| Big Boss; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akiwa jukwaani kuangalia burudani leo |
![]() |
| Omary Salum wa Simba SC kushoto akiambaa |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC leo |
![]() |
| Kikosi cha KMKM leo |



















.png)
0 comments:
Post a Comment