![]() |
| Kulia Said Ndemla 'Ozil', kushoto Nassor Masoud 'Chollo' na katikati Ramadhani Chombo 'Redondo'. Michuano ya mwaka huu itakwenda sambamba na sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. |
![]() |
| Supa staa; Ramadhani Sngano 'Messi' hakuwa na sare ya timu kama wenzake |
![]() |
| Nahodha Chollo kushoto akimpa tiketi yake beki Mganda, Joseph Owino. Wengine kulia ni Daktari, Yaasin Gembe na Kocha Msaidizi, Suleiman Matola kushoto |
![]() |
| Chollo akimpa tiketi Amri Kiemba |
![]() |
| Kulia Redondo, katikati kocha wa makipa Iddi Pazi 'Father' na kushoto mshambuliaji Ali Badru |
![]() |
| Kipa Yaw Berko akiikagua tiketi yake baada ya kukabidhiwa na Nahodha Msaidizi, Haruna Shamte kushoto |









.png)
0 comments:
Post a Comment