![]()  | 
| Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe katikati akiwa ameinua Kombe la Mtani Jembe Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kuifunga Yanga SC mabao 3-1. | 
![]()  | 
| Wachezaji wa Simba na Kombe na Medali zao | 
![]()  | 
| Rais wa TFF, Jamal Malinzi akimkumbatia kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda | 
![]()  | 
| Malinzi akimvisha Medali Ramadhai SIngano 'Messi' | 
![]()  | 
| Malinzi akimpongeza Hans Poppe | 
![]()  | 
| Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akimkabidhi Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' mfano wa hundi ya SH. Milioni 1 | 
![]()  | 
| Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh akipokea hundi ya Sh. Milioni 98.9 | 
![]()  | 
| Malinzi akimkabidhi Nahodha wa Yanga, Jerry Tegete Kombe dogo | 
![]()  | 
| Nahodha wa Simba SC, Haruna Shamte akipokea Kombe | 
![]()  | 
| Jonas Mkude akivalishwa Medali | 
![]()  | 
| Amri Kiemba akivalishwa Medali | 
![]()  | 
| Hans Poppe na Ivo | 














.png)
0 comments:
Post a Comment